Monday, June 24, 2013

G NAKO FT BEN POL - WARA WARA NA MPIRA(SNIPPET)


   
Download kionjo cha nyimbo mpya ya G_Nako a.k.a G Wara wara The Finest of  A_R, aliomshirikisha Ben Pol huku ukisubiri official release.
Dude hilo bado liko jikoni linapikwa na mkubwa wa kazi DefXtro (Dx) ndani ya studio za Noiz Maker  A town.

Friday, June 21, 2013

KUWA MAKINI NA MATUMIZI YAKO YA LAPTOP

Tuwe waangalifu hasa katika matumizi ya Laptop, usitumie laptop ukiwa kitandani kwani inaweza kupata moto na kuungua au kulipuka na kusababisha matatizo. Ni hatari sana feni za computer zikishindwa kufanya kazi na processor ikawa overheated..... ndio hapo matatizo yatakapo ibuka ukizingatia pia computer hutoa gesi ya carbon monoxide ambayo ni hatari, chini ya computer kuna ventilation so zinatakiwa zipate space.
Kuna baadhi ya watu wengi hawafahamu hatari ya vitu hivi ukizingatia product zetu za kichina hizi!!!

Wednesday, June 19, 2013

HII HAPA RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA BARCLAYS PREMIER LEAGUE MSIMU 2013 - 2014

Kwa wale wapenzi wa mpira wa miguu zaidi wanaofatilia ligi kuu ya Uingereza watafurahia habari hii ya ratiba ya ligi hiyo inayotarajiwa kuanza jumamosi ya tarehe 17/08 katika msimu wa  2013-2014.
Hapo juu ni mechi za ufunguzi ila kwa ratiba nzima unaweza   click hapa    na kwenye shoo me ukachagua premier league...!

DOGO ASLEY FT LINAH - BADO MDOGO

            

P CULTURE FT JCB - LIFE CAN BE


          

Saturday, June 15, 2013

HALI ILIVYO ARUSHA MAENEO YA SOWETO BAADA YA MLIPUKO WA BOMU

Hivi ndio hali ilivyo usiku huu maeneo ya Soweto Arusha baada ya bomu kulipuka katika mkutano wa Chadema uliokuwa ukimalizika saa 12 jioni katika viwanja vya Soweto jijini Arusha.

BREAKING NEWZ: MLIPUKO WA BOMU ARUSHA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA

Tunaomba radhi kwa picha hii

SHUGHULI YA LADY JAYDEE ILIKUWA SHANGWEEEH NYUMBANI LOUNGE

SHOO YA LADY JAYDEE ILIVYOFANA JANA NYUMBANI LOUNGE' 13 ANNIVERSARY IN MUSIC

Ulikua ni usiku mzuri jana kwa Lady Jaydee a.k.a Anaconda kwa kutimiza miaka 13 katika game ya mziki.
Nyomi ya watu ilikua ya kutosha na support mbali mbali kutoka kwa wasanii na mheshimiwa Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.
 Leo June 15 Lady Jaydee ni siku yake ya kuzaliwa, so i take this chance to wish her a happy birthday to Judith Mbibo Wambura a.k.a Lady Jaydee a.k.a Anacondaaah

Hapa chini ni kionjo cha video ya jana Nyumbani Lounge katika Anniversary yake kwenye muziki