Friday, May 31, 2013

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2013

Click link hapa kuona matokeo hayo - skyllaz

 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YAMETOKA!

Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2013.
Asilimia 93 ya waliofanya mtihani huo wa kidato cha 6 wamefaulu.

Shule ya kwanza iliyoongoza ni Marian Girls ya mkoani Pwani na ya pili ni Mzumbe ya Morogoro.

Mwanafunzi wa 1, ni wa kiume kwa sayansi ni Erasmi Inyase kutoka Ilboru, na kwa msichana ni Lucylight wa Marian girls.

Upande wa masomo ya Biashara mwanafunzi wa 1 ametoka shule ya Tusiime anaitwa Erick Robert.

Wanafunzi 89 matokeo yao yamezuiliwa kwa sababu mbalimbali.
Wanafunzi watakaothibitika kuwa walikuwa na matatizo ya kiafya, watapewa nafasi ya kurudia mtihani.

SourceNECTA. 

WHICH ONE IS YOUR FAVOURITE BROWSER

MADHARA YA KUPAKATA LAPTOP MUDA MREFU JUU YA MAPAJA

Haishauriwi kutumia laptop muda mrefu huku ukiwa umeipakata juu
ya mapaja yako. Ni vibaya kwa sababu chini ya laptop kuna kama
venti zinazotoa joto, joto lote la processor/cpu hupumulia kwa chini
na kwa pembeni. So unapotumia computer muda mrefu huku ukiwa
umeipakata utaathirika na lile joto litakalo kutana na ngozi, so unaweza
pata madhara ya ngozi, au ikakusababishia hata cancer ya ngozi! Gt it....!