Saturday, June 15, 2013

SHOO YA LADY JAYDEE ILIVYOFANA JANA NYUMBANI LOUNGE' 13 ANNIVERSARY IN MUSIC

Ulikua ni usiku mzuri jana kwa Lady Jaydee a.k.a Anaconda kwa kutimiza miaka 13 katika game ya mziki.
Nyomi ya watu ilikua ya kutosha na support mbali mbali kutoka kwa wasanii na mheshimiwa Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.
 Leo June 15 Lady Jaydee ni siku yake ya kuzaliwa, so i take this chance to wish her a happy birthday to Judith Mbibo Wambura a.k.a Lady Jaydee a.k.a Anacondaaah

Hapa chini ni kionjo cha video ya jana Nyumbani Lounge katika Anniversary yake kwenye muziki

No comments:

Post a Comment