Saturday, June 22, 2013

MIZINGA 21 YA KIKOSI' SHOO YA KUTIMIZA MIAKA 13 KWENYE GAME YA MZIKI WA HIP HOP

Photo: #MIZINGA21YAKIKOSI @ New Msasani Club #Asiyehusika Na Show Ashuke #Hip Hop Artiste #KALAPINNA Akiwa Kwenye Stage Ya Mizinga 21 Ya Kikosi Wakisherekea Miaka 13 Wakiwa Katika Game La Hip Hop #HIPHOPNIGHT
Photo: #MIZINGA21YAKIKOSI @ New Msasani Club #Asiyehusika Na Show Ashuke #Hip Hop Artiste Akiwa Kwenye Stage Ya Mizinga 21 Ya Kikosi Wakisherekea Miaka 13 Wakiwa Katika Game La Hip Hop #HIPHOPNIGHT
Photo: #MIZINGA21YAKIKOSI @ New Msasani Club #Asiyehusika Na Show Ashuke #HipHopArtiste @AfandeSele Kwenye Stage Ya Mizinga 21 Ya Kikosi Wakisherekea Miaka 13 Wakiwa Katika Game La Hip Hop #HIPHOPNIGHT
Photo: #MIZINGA21YAKIKOSI @ New Msasani Club Jana Usiku #Wanaopenda Hip Hop Just Wana See Hands Up #HIPHOPNIGHT
Jana Kikosi cha MIZINGA kilipiga shoo ya kutimiza miaka 13 katika game ya mziki wa Hip Hop New Msasani Club. Wasanii kibao waliwakilisha wakiongozwa na kamanda wa kikosi Nabii Koko a.k.a Kalapina, msanii Kimya kutoka Kenya, Chid Benz, Afande Sele, MansuLi, na wengine kibao

No comments:

Post a Comment