Sunday, May 5, 2013

HIZI NI PICHA YA KANISA KATOLIKI MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA LEO OLASITI ARUSHA

Mwanzo wa ibada Askofu wa Jimbo kuu Katoliki Arusha Baba Askofu Josephath Lebulu akibariki chumvi, kulia kwake ni Balozi wa Vatican nchini
 
DSCN2219
eneo lenye utepe ndipo kinachohisiwa kuwa bomu ndipo kilipotua na kulipuka katika Kanisa la Mt Joseph Olasiti Arusha ambapo Balozi wa Papa alikuwa akihudhuria ibada ya Kuzindua Parokia kanisani hapo....
 
Mungu uwe upande wetu
DSCN2251
DSCN2267
 DSCN2215
DSCN2222
Binadamu tuwe na huruma hata kidogo, hufikirii ndugu zako, marafiki zako nao wapo kwenye huo mjumuiko wa watu? AMANI iliyokuwepo Tanzania inazidi kutoweka siku hadi siku.  WE NEED CHANGES BETWEEN OURSELVES.

2 comments:

  1. Duh Watanzania ni nini hiki tunafanya? mbona kila kukicha mambo yanazidi kuharibika?

    ReplyDelete
  2. Kuna mtu amepona kweli hapo!

    ReplyDelete