Friday, February 10, 2012

ROBIN VAN PERSIE ACHUKUA TUZO

Mwanasoka anayekipiga klabu ya Arsenal ya Uingereza
akiwa na tuzo yake baada ya kuwa mchezaji wa
kwanza kufikisha magoli 20 katika ligi kuu ya England
inayoendelea.

No comments:

Post a Comment