Saturday, June 29, 2013
Friday, June 28, 2013
Thursday, June 27, 2013
Wednesday, June 26, 2013
Monday, June 24, 2013
G NAKO FT BEN POL - WARA WARA NA MPIRA(SNIPPET)
Sunday, June 23, 2013
Saturday, June 22, 2013
Friday, June 21, 2013
KUWA MAKINI NA MATUMIZI YAKO YA LAPTOP
Tuwe waangalifu hasa katika matumizi ya Laptop, usitumie laptop ukiwa kitandani kwani inaweza kupata moto na kuungua au kulipuka na kusababisha matatizo. Ni hatari sana feni za computer zikishindwa kufanya kazi na processor ikawa overheated..... ndio hapo matatizo yatakapo ibuka ukizingatia pia computer hutoa gesi ya carbon monoxide ambayo ni hatari, chini ya computer kuna ventilation so zinatakiwa zipate space.
Kuna baadhi ya watu wengi hawafahamu hatari ya vitu hivi ukizingatia product zetu za kichina hizi!!!
Kuna baadhi ya watu wengi hawafahamu hatari ya vitu hivi ukizingatia product zetu za kichina hizi!!!
Thursday, June 20, 2013
Wednesday, June 19, 2013
HII HAPA RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA BARCLAYS PREMIER LEAGUE MSIMU 2013 - 2014
Kwa wale wapenzi wa mpira wa miguu zaidi wanaofatilia ligi kuu ya Uingereza watafurahia habari hii ya ratiba ya ligi hiyo inayotarajiwa kuanza jumamosi ya tarehe 17/08 katika msimu wa 2013-2014.
Hapo juu ni mechi za ufunguzi ila kwa ratiba nzima unaweza click hapa na kwenye shoo me ukachagua premier league...!
Tuesday, June 18, 2013
Monday, June 17, 2013
Saturday, June 15, 2013
HALI ILIVYO ARUSHA MAENEO YA SOWETO BAADA YA MLIPUKO WA BOMU
Hivi ndio hali ilivyo usiku huu maeneo ya Soweto Arusha baada ya bomu kulipuka katika mkutano wa Chadema uliokuwa ukimalizika saa 12 jioni katika viwanja vya Soweto jijini Arusha.
SHOO YA LADY JAYDEE ILIVYOFANA JANA NYUMBANI LOUNGE' 13 ANNIVERSARY IN MUSIC
Ulikua ni usiku mzuri jana kwa Lady Jaydee a.k.a Anaconda kwa kutimiza miaka 13 katika game ya mziki.
Nyomi ya watu ilikua ya kutosha na support mbali mbali kutoka kwa wasanii na mheshimiwa Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.
Leo June 15 Lady Jaydee ni siku yake ya kuzaliwa, so i take this chance to wish her a happy birthday to Judith Mbibo Wambura a.k.a Lady Jaydee a.k.a Anacondaaah
Hapa chini ni kionjo cha video ya jana Nyumbani Lounge katika Anniversary yake kwenye muziki
Thursday, June 13, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)