ONEAL Morris, dume aliyebadili jinsi yake amezua hofu duniani kufuatia picha zake za kwenye mtandao zikimwonesha ni mwanamke, ‘pyua’.
Baadhi ya watu waliotoa maoni kwenye mtandao ulioanika picha za Oneal wamesema wanaamini dunia imefika ukingoni na sasa ni wakati wa bindamu kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.