Wednesday, February 20, 2013

PICHA YA ZOMBI ILIYOCHORWA NA MWANAFUNZI WA FORM IV 2012


Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)  Dr Joyce Ndalichako akionyesha karatasi ya majibu ya mmoja ya watahiniwa wa kidato cha nne mwaka 2012.
Joyce Ndalichako adai Clouds FM imechangia yaliyotokea Kidato cha Nne!
- Adai walimpa 'Promo' kijana aliendika matusi na "Bongo Flavor" katika mtihani wake wa Kidato cha Nne Mwaka jana kwa kumfanyia interview katika moja ya vipindi vyake.
- Adai kuwa hatua hiyo ya Clouds FM imechangia uandikaji wa matusi kwa watahaniwa wa mwaka huu...
Endelea kusoma hapa    http://j.mp/ZfpPur

CHIBWA FT JURU - NISHAI


               

MAKALLAWAUKOO FT DOMOKAYA - NIENDE WAPI