Tuwe waangalifu hasa katika matumizi ya Laptop, usitumie laptop ukiwa kitandani kwani inaweza kupata moto na kuungua au kulipuka na kusababisha matatizo. Ni hatari sana feni za computer zikishindwa kufanya kazi na processor ikawa overheated..... ndio hapo matatizo yatakapo ibuka ukizingatia pia computer hutoa gesi ya carbon monoxide ambayo ni hatari, chini ya computer kuna ventilation so zinatakiwa zipate space.
Kuna baadhi ya watu wengi hawafahamu hatari ya vitu hivi ukizingatia product zetu za kichina hizi!!!
Kuna baadhi ya watu wengi hawafahamu hatari ya vitu hivi ukizingatia product zetu za kichina hizi!!!
No comments:
Post a Comment