Jana Kikosi cha MIZINGA kilipiga shoo ya kutimiza miaka 13 katika game ya mziki wa Hip Hop New Msasani Club. Wasanii kibao waliwakilisha wakiongozwa na kamanda wa kikosi Nabii Koko a.k.a Kalapina, msanii Kimya kutoka Kenya, Chid Benz, Afande Sele, MansuLi, na wengine kibao
No comments:
Post a Comment