Saturday, February 16, 2013

WORLD GARDEN JENGO KUBWA NA LENYE KLABU NDANI YA JIJINI LA ARUSHA

JENGO LA WORLD GARDEN
Jengo jipya la mikutano pamoja na ukumbi wa disco lililopo jijini Arusha maeneo ya Moshono barabara zamani ya Moshi - Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amewaasa Watanzania wazidi kuwekeza katika janja tofauti tofauti ili kuzidi kuuweka mkoa wetu katika hadhi, mandhari nzuri pamoja na kiuchumi. Jengo lina kumbi za kufanyia mikutano, sherehe na pia lina night club.