Ulikua ni usiku mzuri jana kwa Lady Jaydee a.k.a Anaconda kwa kutimiza miaka 13 katika game ya mziki.
Nyomi ya watu ilikua ya kutosha na support mbali mbali kutoka kwa wasanii na mheshimiwa Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.
Leo June 15 Lady Jaydee ni siku yake ya kuzaliwa, so i take this chance to wish her a happy birthday to Judith Mbibo Wambura a.k.a Lady Jaydee a.k.a Anacondaaah
Hapa chini ni kionjo cha video ya jana Nyumbani Lounge katika Anniversary yake kwenye muziki
No comments:
Post a Comment