Matokeo ya kidato cha sita 2012 yametoka wapendwa.
http://utawala.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
BARAZA la Mtihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita iliyofanyika Februari mwaka huu yakionyesha kuongezeka kidogo kwa kiwango cha ufaulu kwa ujumla huku wavulana waliofaulu wakiwaacha