Tuesday, May 28, 2013

BE CREATIVE PEOPLE

ALBERT MANGWAIR AMEFARIKI DUNIA HUKO AFRIKA KUSINI


Albert Mangwea amefariki dunia nchini Afrika Kusini na mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Helen Joseph ya jijini Johanesburg.
Mwana Chemba, Mtoto wa East Zoo, A.k.a Mimi, KAobama, Kauwizy, Mnyamwezi, Mzazi, Mtoto wa Jah-kaya, The pride of Dom, mzee wa free style, Speed 120 kwenye kona shaaa, NGE, Mzee wa nipeni dili masela, Mzee wa kusaka mahela... Na mengine mengi tu.....
Maneno mengi yatasemwa but ukweli ni uleule japo unauma sana, na hakuna kifo kisicho na sababu siku zote...
REST IN FREEDOM ALBERT MANGWEA