Friday, November 30, 2012

DRE NDIE MSANII ANAYELIPWA GHALI DUNIANI 2012

Rapper na Mtayarishaji wa Mziki `Dr Dre' ametajwa na jarida la Forbes kama Mwanamuziki aliye lipwa zaidi duniani mwaka 2012. Pesa zake zimepatikana kupitia Head Phones na Ear Phones za Beats By Dre na Mikataba tofauti na wasanii kama Eminem,50 Cent na The Game. Mwaka jana Dr Dre alipunguza wasanii kadha kwenye label yake kwa sababu ya upungufu wa mauzo yao.

1. Dr Dre – $110 Million
2. Roger Waters – $88 Million
3. Elton John – $80 Million
4. U2 – $78 Million
5. Take That – $69 Million
6. Bon Jovi – $60 Million
7. Britney Spears – $58 Million

AIRTEL TANZANIA YAMPONGEZA AY

Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde na Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flava) kwa pamoja wakionyesha tuzo ya  Channel O  aliyoipata Mwanamuzi huyo nchini Afrika Kusini. Tukio hilo limefanyika leo wakati wa mkutano na waandishi wa habari ambapo Airtel imempongeza AY kwa ushindi alioupa pamoja na kumwandalia sherehe ya kumpongeza itakayofanyika leo usiku nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam.


JCB FT STEPH WATERS - JUS LIKE U

                        

LIVERPOOL STRIKER LUIS SUAREZ HAS WON THE BARCLAYS RACE

 Liverpool striker Luis Suarez has won the Barclays Race for the Golden Boot ‘10-goal’ award after being the first player this season to reach 10 goals in the Premier League.

Describe Luis Suarez in One Word !

G NAKO - MAMA YEYO