Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC
kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe,
kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake
DRC kukabiliana na waasi hao.
Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC @m23congordc 16h
@
Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti
Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto
MAJIBIZANO YAO NA WAZIRI MEMBE
...
M23 Congo RDC @m23congordc 16h @ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto
No comments:
Post a Comment