Sunday, May 5, 2013

BREAKING NEWZ: MLIPUKO WA BOMU WATOKEA KANISA KATOLIKI OLASITI ARUSHA

 
Mlipuko mkubwa umetokea kwenye
kanisa Catholic la Mt. Joseph Mfanyakazi Parokia ya Olasiti Mbauda Arusha muda si mrefu, Watu kadhaa wamejeruhiwa wakati wa ibada ya uzinduzi wa kanisa hilo iliyokua ikiongozwa na Balozi wa Papa nchini. Watu wamejeruhiwa vibaya inasikitisha, Inasemekana watu wawili wameshakamatwa kuhusiana na tukio hilo, mmoja amepewa kichapo kweli kweli na wananchi, mwingine yuko salama.
Tutaendelea kukufaamisha tutakapopata taarifa zaidi...

No comments:

Post a Comment