Mwanzo wa ibada Askofu wa Jimbo kuu Katoliki Arusha Baba Askofu Josephath Lebulu akibariki chumvi, kulia kwake ni Balozi wa Vatican nchini
Binadamu tuwe na huruma hata kidogo, hufikirii ndugu zako, marafiki zako nao wapo kwenye huo mjumuiko wa watu? AMANI iliyokuwepo Tanzania inazidi kutoweka siku hadi siku. WE NEED CHANGES BETWEEN OURSELVES.
Duh Watanzania ni nini hiki tunafanya? mbona kila kukicha mambo yanazidi kuharibika?
ReplyDeleteKuna mtu amepona kweli hapo!
ReplyDelete