EMBU CHEKA KIDOGO NA HUYU MGENI
Wageni wengine mmh noma...!
Mwenyeji: Utakunywa soda au chai?
Mgeni: Ntakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
Mwenyeji:Hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?
Mgeni: Nipe coca sprite niwekee kwenye friji iendelee kupoa.
Mwenyeji: Nikupe mkate au maandazi?
Mgeni: Nipe maandazi kwanza mkate ntakula na chai ikichemka. ILIPOFIKA JIONI
Mwenyeji: Nkuandalie chips mayai au kuku?
Mgeni: Niandalie chips kuku kwanza,mayai naomba unichemshie 5 tu ili nishushie na ile sprite. MGENI KAMA HUYU WEWE UTAMFANYAJE SIKU NYINGINE...?
No comments:
Post a Comment