Tuesday, December 25, 2012
Wednesday, December 12, 2012
Tuesday, December 4, 2012
PAPA BENEDICT AJIUNGA NA MTANDAO WA TWITTER
Papa Benedict amefungua akaunti katika mtandao wa kijamii,Twitter, katika jitihada ya kusambaza ujumbe wa kanisa katoliki.
Taarifa kuhusu akaunti hiyo itatolewa baadaye
hii leo katika mkutano na waandishi habari, lakini duru kutoka Vatican
zinasema huenda asiandike mwenyewe ujumbe kwenye akaunti hiyo.Wanasema Papa Benedict anapendelea kuandika kwa mkono kuliko kutumia tarakilishi.
Kanisa hilo la katoliki tayari linatumia mitandao kadhaa ya kijamii na hivi karibuni limezindua mtandao mkuu unaounganisha mitandao ya kanisa hilo kote ulimwenguni.
Wakatoliki kote duniani, wataweza kuwasilina na Papa kupitia Twitter wakati akaunti hiyo itakapozinduliwa rasmi.
Papa Benedict anataka kuitumia akaunti hiyo kuwasiliana na wakatoliki kote duniani.
Saturday, December 1, 2012
VITU VYA SHARO MILIONEA VILIVYOIBIWA VYAKAMATWA
JESHI la Polisi mkoani Tanga limefanikiwa kukamata vitu mbalimbali vya
marehemu Hussein Ramadhan, ‘Sharo Milionea’ vilivyoibwa na watu
wasiojulikana, muda mfupi baada ya msanii huyo wa filamu na muziki
nchini kupata ajali katika Kijiji cha Songa Kibaoni, wilayani Muheza na
kufariki dunia papo hapo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoani Tanga,
Costantine Massawe alisema Jeshi la Polisi limefanikiwa kukamata begi
la nguo, simu ya mkononi aina ya blackberry, betri ya gari, redio, tairi
la gari na saa ya mkononi ya marehemu.
Alitaja vitu vingine vilivyopatikana kuwa ni nguo ambazo marehemu
alivuliwa baada ya kupata ajali, ambazo ni fulana na suruali ya jeans.
Friday, November 30, 2012
DRE NDIE MSANII ANAYELIPWA GHALI DUNIANI 2012
Rapper
na Mtayarishaji wa Mziki `Dr Dre' ametajwa na jarida la Forbes kama
Mwanamuziki aliye lipwa zaidi duniani mwaka 2012. Pesa zake zimepatikana
kupitia Head Phones na Ear Phones za Beats By Dre na Mikataba tofauti
na wasanii kama Eminem,50 Cent na The Game. Mwaka jana Dr Dre alipunguza
wasanii kadha kwenye label yake kwa sababu ya upungufu wa mauzo
yao.
2. Roger Waters – $88 Million
3. Elton John – $80 Million
4. U2 – $78 Million
5. Take That – $69 Million
6. Bon Jovi – $60 Million
7. Britney Spears – $58 Million
AIRTEL TANZANIA YAMPONGEZA AY
Afisa Uhusiano wa Airtel Jane
Matinde na Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flava) kwa pamoja
wakionyesha tuzo ya Channel O aliyoipata Mwanamuzi huyo nchini Afrika
Kusini. Tukio hilo limefanyika leo wakati wa mkutano na waandishi wa
habari ambapo Airtel imempongeza AY kwa ushindi alioupa pamoja na
kumwandalia sherehe ya kumpongeza itakayofanyika leo usiku nyumbani
Lounge jijini Dar es Salaam.
LIVERPOOL STRIKER LUIS SUAREZ HAS WON THE BARCLAYS RACE
Liverpool
striker Luis Suarez has won the Barclays Race for the Golden Boot
‘10-goal’ award after being the first player this season to reach 10
goals in the Premier League.
Describe Luis Suarez in One Word !
Describe Luis Suarez in One Word !
Wednesday, November 28, 2012
MAELFU YA WATU WAMWAGA SHARO MILIONEA
Sharo Milionea amezikwa leo majira ya saa 7 mchana huko nyumbani
kwao Lusanga Muheza mkoani Tanga.
kwao Lusanga Muheza mkoani Tanga.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake Lihimidiwe. R.I.P
Tuesday, November 27, 2012
X PLASTAZ WATOA SHULE MIXTAPE
Front Page
Back Page
cheki na link hapo chini uka download for free from X-plastaz website
Monday, November 26, 2012
BREAKING NEWS SHARO MILIONEA HATUNAE TENA R.I.P
Kwa habari za hivi punde ni kwamba msanii maarufu
wa Movie za Kibongo na mwimbaji pia Sharo Milionea
a.k.a oooh maamaaah inasadikika amepata ajali ya gari na
kufariki papo hapo huko mkoani Tanga. Alikua akiendesha
mwenyewe gari aina ya Toyota Harrier lililoacha njia na
kupinduka mara kadhaa, eneo linaitwa Maguzoni Songa,
mwili umehifadhiwa katika hospitali ya Muheza Tanga.

Rest In Freedom bro.
Sunday, November 25, 2012
LORD EYEZ SOON KUACHIA NYIMBO @STUDIO KWA P FUNK
kwenye chorus amesimama jamaa anaitwa Damian Mihayo.
Friday, November 23, 2012
LORD EYEZ NDANI YA BONGO RECORDS
Pamoja na mambo mengi yanayomkabili Lord Eyez lakini haijampunguzia kasi
Hapo ni Bongo Records chini ya Producer P-Funk Majani.
Lord Eyez soon ataachia ngoma akiwa amemshirikisha Damian.
Saturday, November 10, 2012
LORD EYEZ NA WAKILI WAKE WAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI
LORD EYEZ
Msanii wa Bongo Fleva kutoka A town city almaarufu kama Lord eyez ambaye siku za hivi karibuni alikabiliwa na kesi ya kuiba vifaa vya gari sasa
Latest Info ni kwamba msanii huyu pamoja na Wakili wake waliamua kuweka wazi juu ya kesi inayomuanda hivi sasa.Wakili huyu anayekwenda kwa jina la Peter Kibatala alisema kwamba kesi hii imefanya mpaka Lord Eyez kuonekana kwamba yeye ndiyo mhusika wa kuiba vifaa hivyo lakini sasa hivi wanaachia kwanza Mahakama ndiyo itakayo chukua uamuzi sahihi kuhusiana na kesi hiyo.Lakini hapo hapo tuliweza kusikia ujumbe kutoka kwa weusi walizungumza na kusema kwamba tukio kama ili limewaathiri pale wanapokutana na watu mbalimbali na kusikia story za watu kusema kwamba wote watakuwa wanahusika katka kesi hiyo wakati ni story ambazo sio za kweli.Baada ya hapo tuliweza pia kusikia ujumbe kutoka kwa Lord Eyez mwenyewe aliweza kuzungumza kusema kwamba mahakama ndiyo itaamua kuchukua sheria kwamba alihusika au ajahusika katika tukio kama hilo la kuiba vifaa vya gari,ambayo kesi hiyo inatarajia kusomwa Mahakama ya Mwanzo siku ya tarehe 13,14 na 15 mwezi huu hapa jijini Dar es Salaam lakini pia alimalizia kwa kusema japokuwa kwa sasa hivi yupo kitaani huku akisikilizia Mahakama imeamuaje kwa hiyo anachotaka kukifanya ni anataka kudondosha ngoma yake mpya kali ambayo anataka kufanya suprise kwa mashabiki wake katika industries hii ya muziki wa Bongo Fleva.

Nikki wa Pili, Lord Eyez na G nako.
Tuesday, November 6, 2012
Tuesday, October 30, 2012
REST IN PEACE MA MEN LEXA
LEXA JULIUS
Maazishi ya Lexa Julius mmoja wa raia kutoka Watengwa.
According to Daz Knowledge Producer kutoka Watengwa Rercods
ni kwamba
..............HII NDIO TAARIFA KAMILI............
Lexa Julius ajachomwa kisu kama inavyo andikwa kwenye vyombo vya habari....Marehemu alivamiwa na kundi la Makapurwa kwa nia ya kumuibia ...katika hali ya kujihami..walimpiga na jiwe kichwani ...ndugu zake walimrudisha Marehemu Lexa nyumbani..Kwa bahati mbaya alifariki usingizini..Report ya POST MORT UM inasema Damu ilivujia kwenye ubongo...
....kABLA YA MAUTI YAKE .alimtaja mmoja wa wahusika...
ambayo mpaka sasa wamekamatwa wote na wamekubali kua wao ndio wahusika....
MAREHEMU HAKUCHOMWA KISU KAMA TAARIFA ZISIZO RASMI ZINAVYO ANDIKA....NA JCB HAUSIKI NA CHOCHOTE
..............................r.i.p ALEX JULIUS..................

Subscribe to:
Posts (Atom)