Kwa habari za hivi punde ni kwamba msanii maarufu
wa Movie za Kibongo na mwimbaji pia Sharo Milionea
a.k.a oooh maamaaah inasadikika amepata ajali ya gari na
kufariki papo hapo huko mkoani Tanga. Alikua akiendesha
mwenyewe gari aina ya Toyota Harrier lililoacha njia na
kupinduka mara kadhaa, eneo linaitwa Maguzoni Songa,
mwili umehifadhiwa katika hospitali ya Muheza Tanga.

Rest In Freedom bro.
Duh hivi hizi habari ni za kwl kaka Vinii?
ReplyDelete