Afisa Uhusiano wa Airtel Jane
Matinde na Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flava) kwa pamoja
wakionyesha tuzo ya Channel O aliyoipata Mwanamuzi huyo nchini Afrika
Kusini. Tukio hilo limefanyika leo wakati wa mkutano na waandishi wa
habari ambapo Airtel imempongeza AY kwa ushindi alioupa pamoja na
kumwandalia sherehe ya kumpongeza itakayofanyika leo usiku nyumbani
Lounge jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment