Thursday, June 13, 2013

LANGA KILEO 'THE LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN' AMEFARIKI DUNIA

Msiba: Vyanzo vya habari mbalimbali vinasema kwamba msanii wa Hip Hop Langa Kileo maarufu kama Langa au The Lyrical and Naturally Gifted from Africa amefariki dunia leo hii June 13 majira ya jioni katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa tangu juzi.     R.I.P
His Soul Rest in Freedom

No comments:

Post a Comment