Chris Tucker ameingia kwenye familia ya BET
Staa huyo wa movie ya Rush Hour atakua ndio msherehekeshaji wa shughuli hiyo ya BET (Black_Entertainment_Television) mwishoni mwa mwezi June 2013. Chris Tucker atakua ameingia kwenye list ya ma mc's waliowahi kuwa washerehekeshaji kama kina Samuel L. Jackson, Kevin Hart, Queen Latifah na wengine kibao' katika sherehe hizo za mziki za Kimataifa za ugawaji wa tuzo.
Kaa tayari kwa kufurahia shoo hiyo ya BET kwa burudani nzuri za kina Beyoncé, Snoop Dogg, R. Kelly, Erykah Badu, Kendrick Lamar na wengine kibao. maelezo zaidi click hapa...
No comments:
Post a Comment