Thursday, February 14, 2013

MAJINA YA WALIMU WAPYA WA SHULE ZA MSINGI 2012-2013

AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/2013
Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu serekalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu - Tamesemi, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. Hakuna mabadiliko ya vituo vya kazi yatakayofanywa. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya Taaluma na cheti cha Kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.

NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO.

Fungua Link hiyo hapo chini

No comments:

Post a Comment